Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Nakubaliana nawe lakini kwanini mtu aseme uongo kwamba anasepa humu kwa kipindi kirefu na kudai ana kawaida ya kufanya hivyo kumbe anahamia kwenye ID nyingine?

Huwa naiacha na kufungua nyingne mpya ya zamani ndyo inakuwa R.I.P ukitaka sababu kila mtu anasababu zake binafs na huwa sababu hazilingani
 
Nakubaliana nawe lakini kwanini mtu aseme uongo kwamba anasepa humu kwa kipindi kirefu na kudai ana kawaida ya kufanya hivyo kumbe anahamia kwenye ID nyingine?
Hao ni wanafiki mkuu wangu mm naongea ukweli kuwa nitabadili ID ila sitaondoka jamii forums
 
Sasa kama huikumbuki ID yako mie nitakusaidia vipi Sakayo!? Pitia kabrashas zako labda utazikumbuka IDs zako zote. Naweza kuitaja na bado usiikumbuke.
Mwaya nakutania tuu

Niko na hii tuu, Wala hamna sababu ya IDs miingiii
 
Back
Top Bottom