Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Sio vyema kipi?? Kubadilisha ID ni illegal thing humu JF? basi wamiliki na mods wana halalisha illegal things. Maana huwezi badilisha ID bila wao kufanya hivyo.

Kama unaona sio vyema u better take your 50 let me deal with mine. Hujalazimishwa kukubaliana na maamuzi ya kila mtu and I don't care on others I only do with mine.

hey,Tae chill pills
Guys this thread is simply chit chat nothing serious. Btw wewe uliweka wazi ID yako ya zamani na mpya no confusion.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli ID mingi za zamani zipo kimya sana, kuna ID mpya za 2016-2017 afu nyingi ni za kike.

Wazee wenzangu 2013 kushuka chini mpo wapi Jamani!???
Tupo....
 
Unabadili ID ili iweje? Hebu tuwekee sababu za kina za kuwa na ID zaidi ya moja na unapozitumia hutaki watu wajue kwamba una ID A, B, C labda na kuendelea
kaka angu inaonekana hili swala hulipendi kabisa la kubadili id
 
Back
Top Bottom