Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Sio vyema kipi?? Kubadilisha ID ni illegal thing humu JF? basi wamiliki na mods wana halalisha illegal things. Maana huwezi badilisha ID bila wao kufanya hivyo.

Kama unaona sio vyema u better take your 50 let me deal with mine. Hujalazimishwa kukubaliana na maamuzi ya kila mtu and I don't care on others I only do with mine.

hey,Tae chill pills
Anhaa!!! Oky
 
Kweli ID mingi za zamani zipo kimya sana, kuna ID mpya za 2016-2017 afu nyingi ni za kike.

Wazee wenzangu 2013 kushuka chini mpo wapi Jamani!???
 
Sio vyema kipi?? Kubadilisha ID ni illegal thing humu JF? basi wamiliki na mods wana halalisha illegal things. Maana huwezi badilisha ID bila wao kufanya hivyo.

Kama unaona sio vyema u better take your 50 let me deal with mine. Hujalazimishwa kukubaliana na maamuzi ya kila mtu and I don't care on others I only do with mine.

hey,Tae chill pills
Mh
Cc relato
 
Sasa Hapo nmekosea nn? Since she is the best friend ananielewa...she will never mind kitu Kama hiki.. Na sijatoa lugha Kali...truth must be on air
Sikuumaanisha achukie au nakugombanisha hapana ni hali ya changamsha tu
 
Ha ha ha ha. Yuko moto Hapo[emoji23][emoji23][emoji23]muache tu. Ila Hata Mimi sijamuelewa huyo anaesema kubadili ID amefanya vibaya sijamuelewa. Maserati mi always nakuelewaga rafiki yangu
Ukinielewa wewe tu rafiki yangu mi I carry the world on my shoulder and move on[emoji23] [emoji23] [emoji23] cheers
 
Back
Top Bottom