Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Mi na mashaka nawewe kabisa, Si vyema ufanyavyo....Aifai kufanya aya uyafanyayo
Kuwa na mashaka ni kawaida. Au haujui usemi usemao wasiwasi Ndio akili??? Nashangaa tu Una mashaka na nini juu yangu??

Si Sawa nifanyayo nimeua mtu??au ninatumia Id ya mtu??au namaliza bando lako since nimechange ID??
AND WHO ARE YOU BY THE WAY TO INTERROGATE ME??

Kubadilisha au kutobadilisha ni maamuzi binafsi ya mtu,Hata wewe ukiona hilo jina ulolitumia halikupendezi tena ruksa kujiita ASHAs.

You have a rite to doubt but not to that eksitenti. Ingekuwa ni illegal thing sidhani Kama JF wangekubali kunibadilishia hii ID.

Sit down,be humble.
Cc relato
 
hmm!!! Si vyema ufanyavyo ila...
 
hmm!!! Si vyema ufanyavyo ila...
Sio vyema kipi?? Kubadilisha ID ni illegal thing humu JF? basi wamiliki na mods wana halalisha illegal things. Maana huwezi badilisha ID bila wao kufanya hivyo.

Kama unaona sio vyema u better take your 50 let me deal with mine. Hujalazimishwa kukubaliana na maamuzi ya kila mtu and I don't care on others I only do with mine.

hey,Tae chill pills
 
Back
Top Bottom