Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
santee love kipenzi chake maserati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
santee love kipenzi chake maserati
Unafanana na wa nani?[emoji3]Mwandiko wako kama naujua vileee.🙂🙂🙂
Kwa hyo unanishaur kuwa nisibadili ID??Wala hagusi huko Mkuu.
Aje kufanya nn huyo kiumbe???
Yoyote atakayekuwa interestedNani mwenye muda huo Wa kuchunguza mwandiko
Kwa hyo unanishaur kuwa nisibadili ID??
Kumbe mlishatongozana?Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Guys this thread is simply chit chat nothing serious. Btw wewe uliweka wazi ID yako ya zamani na mpya no confusion.Sio vyema kipi?? Kubadilisha ID ni illegal thing humu JF? basi wamiliki na mods wana halalisha illegal things. Maana huwezi badilisha ID bila wao kufanya hivyo.
Kama unaona sio vyema u better take your 50 let me deal with mine. Hujalazimishwa kukubaliana na maamuzi ya kila mtu and I don't care on others I only do with mine.
hey,Tae chill pills
Hahahh ayaNgoja nikigongana nae nitakujulisha.
hapana RRONDOMrembo thread kama zile zinakukosesha usingizi?
kaka angu inaonekana hili swala hulipendi kabisa la kubadili idUnabadili ID ili iweje? Hebu tuwekee sababu za kina za kuwa na ID zaidi ya moja na unapozitumia hutaki watu wajue kwamba una ID A, B, C labda na kuendelea
[emoji13] [emoji13] majibu hapa tu nikitongozwa nakatakata vijiti kama kawaidaWewe binti una majibu...sasa domo zege kama mimi nitaweza kukutongoza kweli?🙂🙂😉
hahahaha manga ni mpyaHii nayo mpya lakini imechangamka!