Mkuu okoa kambi akirudi salama namimi nitakujaKaribu mkuu, lakini usije ukantangaza
Mimi huwa nagundua mwandiko kwakweli.....Haahahh
Fuatilia mwandiko
Mwandiko wa mtu unagundulika kirahisi
Daby anko me I'm missing you..Daby anko wa rafiki yangu,ukimuona shemela Saint Ivuga mpe salamu zangu,baada ya salamu tumemmiss Sana.
Cc relato
Asante kwa kunijibia siwezagi kujisifu atHahahaaaa! Ukiona hivyo ujue hauna maex wengi lasivyo ungeyumba. Sasa mie mtu anganiita vile nisingejua ni manga,wax,viol,kaboom au rogie!!!
Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Wacha wee vipi mate yalinitoka?Ningkuchora tu. Alafu umenikumbusha kitu, kuna mahali ulijichanganya nikawa nakudeku tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanini unanibania salamu lakini???
Ajabu huyu hata mimi kanikuta ila aliwai sema piaJamaa ana mifano mubashara....halafu ID yake ya zamani ila imechangamka juzi juzi tu....
Rafiki wa mpwa wangu haujambo!Daby anko wa rafiki yangu,ukimuona shemela Saint Ivuga mpe salamu zangu,baada ya salamu tumemmiss Sana.
Cc relato
Nani huyu???
Haha bado unaendelea kunipoteza tuKwani ulikua na vigongo sana...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nishazeeka sichuniki tenaAaaah wapi, we my kaka nakukamua hadi siku ya mwisho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ts like from the hell
Hah hii bado[emoji1] [emoji1] [emoji1] nna shaka ishakukuta hii
Nikumbushe tu vile bado nakupendaHahahaaaa! Anajua mwenyewe.