Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Kama yupo Russia vile hii weather eeh??
Saint Ivuga mzima wewe?
Kwanini unanibania salamu lakini???
images
 
Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..

labda rounds hizi zaweza kuwa na mafanikio kama za mwanzo hazikuzaa matunda. Cha msingi flow yako ya kuomba hifadhi isiwe ile ya copy and paste, inatakiwa iwe dynamic.
 
Kiongozi hawa mademu wa JF usiingie kwa pupa... Niliingia chaka nikakutana na huyu hapa Numbisa

14517670_1147905751913784_5779380371330375180_n.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ts like from the hell
 
Back
Top Bottom