Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Kila la kheri... mrejesho ofisini ni muhimu

Mpaka sasa dalili zinaonesha ofisi itapata habari njema. Mkataba utasainiwa soon

0fgjhs3fu6t75irflg.bf581897.jpg
 
Hicho kitu ngoja nije nikuambie maana nilichekaa nikajua umejichanganya na haukuwa makini.
Ha ha ha ha yaani badala ya ku-pm mchepuko akaku-pm wewe!

Enzi za ujana nilikuwa nachat na demu na mshkaji at the same time, namsimulia rafiki jinsi mtoto alivyo mtamu! Lahaula ile meseji nikamtumia huyo demu! Bahati nzuri nilikuwa namsifia ingawa ni too much details!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie ndio ile nimeanza mahusiano six mwishoni nikamrushia sista msg ya bf, weeeh nilitamani niruke nikaidake msg. Sitasahau aisee hicho kikao kilichokaa.
 
Back
Top Bottom