Kila la kheri... mrejesho ofisini ni muhimu
One day takusuprise hautoamini.Nipo makini maana nina reserve hahaha
Hili swali la kibabe uzuri kuna tabasam tuHa ha ha haha.kwahyo unatakaje[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hewaala. Mwaka wa neema bwana huu. Uchungulie kama ni utepe nafikiri mkasi wako sio butuMpaka sasa dalili zinaonesha ofisi itapata habari njema. Mkataba utasainiwa soon
Ha ha ha ha yaani badala ya ku-pm mchepuko akaku-pm wewe!Hicho kitu ngoja nije nikuambie maana nilichekaa nikajua umejichanganya na haukuwa makini.
Mie siwezi kupeperusha ndege mkuu,alijipeperushia mwenyewe.Usinambie kuna mtu ulimpeperushia ndege.....
Ingekuwa mimi wewe mwenyewe ungekuwa ndege wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini sasa Manga??Leo umekwishaaaa
Mmh. Hakauna Hata ubabe Hapo jamaniHili swali la kibabe uzuri kuna tabasam tu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ninalingine basi zaid Wewe mwambie anko naye anameshammiss... and a com thiz way
Hehe nitaanza kukesha kwa maombi nipate maonoOne day takusuprise hautoamini.
Oouh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha ha yaani badala ya ku-pm mchepuko akaku-pm wewe!
Enzi za ujana nilikuwa nachat na demu na mshkaji at the same time, namsimulia rafiki jinsi mtoto alivyo mtamu! Lahaula ile meseji nikamtumia huyo demu! Bahati nzuri nilikuwa namsifia ingawa ni too much details!