Mliobadili ID....

Nimekumiss pia anko wa rafiki yangu jamani. Si Ndio Maana nikakuchek pale Ili upitishe na salamu kwa shemela wangu.
Ndiyo maana nakupendaga mimi.

Kwa hiyo ulifanya mnunurisho eeeh.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie ndio ile nimeanza mahusiano six mwishoni nikamrushia sista msg ya bf, weeeh nilitamani niruke nikaidake msg. Sitasahau aisee hicho kikao kilichokaa.
Pole khaaa kuna mambo ukikumbuka mpaka unajiuliza yalipitaje pitaje mana yanakera sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie ndio ile nimeanza mahusiano six mwishoni nikamrushia sista msg ya bf, weeeh nilitamani niruke nikaidake msg. Sitasahau aisee hicho kikao kilichokaa.
Na wewe uliwahi STD six!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…