Hureeeeee!!! Malipo hapa hapa duniani.Aisee alichonifanya huyo najuta kwanini nilikutosa!
Ukiwepo simuogopi najua huwezi vumilia nikichambwa na swaiba wakoAu nimuite yule naniliuuu??
Ungeuvaa mkenge mama. Si unajua siku ile walisifiwa weusi, kwahiyo alitaka aonje tu.
Kama kidogo sasa!!Kweli umeamua.....
QhkaaaaaaJibu hilo hapo chini...
Jamani Anko usinifanyie hivyo mimiMpwa wewe mpira....
Sana tu, na kwa mujibu wa kipima umri changu nakuzidi miaka 3Kwani nawe mkubwa?
Kwanini ulitoa p ukaweka r?Najuta kukufahamu......!
Anakufanyaje tena,Jamani Anko usinifanyie hivyo mimi
Kugonganisha haitokei.Kama hujagonganisha mtu na babaye wewe sijui?
Kizuri mtu hula na nduguye bhanaIle sentesi ya mwisho kabisa uli iona pia?