relato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 689
- 986
Naona hakuna kesi tena hapo.Eheee hee kesi itasikilizwaje apa [emoji101] [emoji101] [emoji101]
Au kesi ya mbuzi wa bwana eli Kala mchicha wa bwana eli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hakuna kesi tena hapo.Eheee hee kesi itasikilizwaje apa [emoji101] [emoji101] [emoji101]
Thubutu yako!!
Una akili sana,
Kaniambia Mimi Mpira etiiAnakufanyaje tena,
Akikufanyia vibaya nambie
Huu upacha na aunty yangu umeanza lini?Pacha mambo?
Acha vituko ha ha haaa
Huyu dada anakupenda pia [emoji6]Huyu dada nampenda
[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Huyu dada anakupenda pia [emoji6]Huyu dada nampenda
Nishajua huku naugulia maumivu tu. Maana sio kwa neno alilonipaUtajitambua tu kua mpole
Kesi za hivi hukumu zake tamu sanaNaona hakuna kesi tena hapo.
Au kesi ya mbuzi wa bwana eli Kala mchicha wa bwana eli
Mmmmh!! Nimeghairi, inatakiwa unizidi 15yrs.Sana tu, na kwa mujibu wa kipima umri changu nakuzidi miaka 3
Hekima zako zinahitajika ujueMhhhh........
Kuna wakati Jf panahitaji kua na macho matatu ili kung'amua mambo zenye utelezi kama hizi.
Ebu ngoja kwanza, nakuja
Fanya hima hasa kipindi hiki cha mvua... Unajibebea kilainiiiiUna akili sana,
Ukaguzi wangu hausubiri weekend
Niambie mchezo wako upendaoTeh teh siwezi Fanya huo mchezoo
Ha ha ha ha. Nikiwepo anapunguza fujo kweli..Ukiwepo simuogopi najua huwezi vumilia nikichambwa na swaiba wako
...mukuu upo kitambo sanaKesi za hivi hukumu zake tamu sana