Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Hiyo yipo kaa mimi sio tongozatongozasikuwai kumuona pm yangu akinitongoza labda amekuwa sasa anatongoza watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo yipo kaa mimi sio tongozatongozasikuwai kumuona pm yangu akinitongoza labda amekuwa sasa anatongoza watu
Acha uchonganishi au unataka wewe ndo uwe mume wetu?[emoji13]Mume wenu ana kazi!
Daaaah Mrembo ni kitambo sana upoooo?Ni kawaida sana hata mimi nlivyokuwa mpya nlikuwa nimechangamka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mbona hum huonekani eti[emoji15] [emoji15] [emoji15] Haha eti kwani nimefichwa eti? Eti mbona nipo sana tu eti
Daaaah mkuu umenikumbusha hawa Lady doctor sosoliso gfsonwin Preta amu DEMBA @mimi49 TUMBOO geniveros miss chagga Miss Neddy Karucee Munkari Heaven on Earth Kasinde Evelyn Salt na wengine wengi hizi brand zimezaliwa upya au? Hiziwiki tena aiseeJamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Nipo mkuu habari ya weweDaaaah Mrembo ni kitambo sana upoooo?
Labda nimejificha tu eti na sio kufichwa eti[emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mbona hum huonekani eti
Eti haijawahi kutokea ukajificha etiLabda nimejificha tu eti na sio kufichwa eti[emoji13] [emoji13]
Tutafutane basi tuyapange yetu...Saaaana[emoji39] [emoji39]
Tunawamiss sana...Daaaah mkuu umenikumbusha hawa Lady doctor sosoliso gfsonwin Preta amu DEMBA @mimi49 TUMBOO geniveros miss chagga Miss Neddy Karucee Munkari Heaven on Earth Kasinde Evelyn Salt na wengine wengi hizi brand zimezaliwa upya au? Hiziwiki tena aisee
Mzee mwenzangu umetafuna mitetea yote now naona vifaranga tuuuTutafutane basi tuyapange yetu...
Usinisahau kwenye ufalme wako. Afu mbona umenichunia wozap? Ushampata mwingine au?Tena na hii baridi isijipe yani tungeonekanika wazembe.....
Njema kabisaNipo mkuu habari ya wewe
Eti pia haijawahi tokea nikafichwa etiEti haijawahi kutokea ukajificha eti
Mzee mwenzangu hapo nataka kulea tu. Malezi ni majukumu yetu kaka...Mzee mwenzangu umetafuna mitetea yote now naona vifaranga tuuu