Mliobadili ID....

Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Bro sorry naomba unielekeze jins ya kurenew name maana wakt najiunga jf. Nimetumia real name sasa km unavyojua kukua kwa social media mtu unakua hauko huru hasa humu jf...naomba msaada wako km hutojali
 
heheheh yan haya mambo ya Ma ID mi huwa napita tu kwa amani ya Bwana tuu..mfano mdogo mpk hapa ni page ya 41. unaona watu wengi wanashambulia thread maskini kumbe ni watu wa 5 tuu wenye ma ID yao kibwena...
[HASHTAG]#Naenda[/HASHTAG] kwa amani ya Bwana
 
Bro sorry naomba unielekeze jins ya kurenew name maana wakt najiunga jf. Nimetumia real name sasa km unavyojua kukua kwa social media mtu unakua hauko huru hasa humu jf...naomba msaada wako km hutojali
Andika email kwa support@jamiiforums.com ukiwapa jina unalotaka kutumia.

Sema asante babu kabla sijadelete hii post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…