Mtoto wa nyoka afundishwi kuuma
Good morning....
Ili iweje unataka wote humu ndani uwamalize wewe. Jiangalie usije kuta tayari ni marehemu[emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125]Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Ujanja au kuogopa Bashite and company?Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Hayo mambo kaka yangu aliyaanza kitambo sana ujue.
Me mwenyewe ushanishida tabia mdogo wangu.
Mwana cha wapi hicho? [emoji7] [emoji7] [emoji7] Nimekitamani kinoma[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji106]Hakuna shida kiongozi... vipi huu mzigo unakufaa??
Au huu??
Au nikupe kibichi ukitengeneze mwenyewe??
Dah, alafu kweli kabisa kuna id mpya nyingi sana na zimechangamka na kujua mazingira ya humu kana kwamba zilikuwapo kabla, nafikiri motive kujishusha umri!ID mpya nyingi zimechangamka sana....ID za zamani zime mute....