Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Wapi kina heavent sent, mamdenyi, miss strong, tumboo, atotoo, mamaafacebook mtoto wa tanga, na wale magwiji wengine wa MMU? Hawa nina uhakika wapo humu tena very active ila kwa id zingine!
Mimi ID yangu ni hii hii na nipo active vizuri tu labda hatujagongana, sina hofu mmama mimi. Kuna watu wazima wenzetu wengi tu wanatupenda sisi wamama because of our age, tupo mature. a.k.a old wine lol
 
Back
Top Bottom