[emoji23] [emoji23] hahaa sasa hata ukionekana hum mdogo ukweli uko palepale. Umezeeke umezeeka tuDah, alafu kweli kabisa kuna id mpya nyingi sana na zimechangamka na kujua mazingira ya humu kana kwamba zilikuwapo kabla, nafikiri motive kujishusha umri!
Hayo mambo kaka yangu aliyaanza kitambo sana ujue.
Yaani ajishushe umri humu ndani? If thats the case basi hamna shida maana from the start hata id ni fake, kwahiyo hata umri ukiwa fake sio mbaya.Dah, alafu kweli kabisa kuna id mpya nyingi sana na zimechangamka na kujua mazingira ya humu kana kwamba zilikuwapo kabla, nafikiri motive kujishusha umri!
NiambiePacha....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] hahaa sasa hata ukionekana hum mdogo ukweli uko palepale. Umezeeke umezeeka tu
Na anazeeka hivyo hivyo!! Hivi tabia hazizeekagi eeh!!!Namuona, namuona! 🙂
Mitongozo inapungua (mizinga inapungua) na shikamoo zinaongezeka kuja kwako, id imefinguliwa 2012 kushuka chini mpaka leo maana yake huyo ni mmama! Wadada wengi wapo kimkakati zaidi humu.Yaani ajishushe umri humu ndani? If thats the case basi hamna shida maana from the start hata id ni fake, kwahiyo hata umri ukiwa fake sio mbaya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante darling nitakuwa, ukizingatia na baadhi ya mapovu yaliyotolewa humu.
Angalau akionekana mdogo humu anaweza kwenda na flow ya maongezi humu, unajua kuna umri ukifika automatically kuna stori ukichangia wengine wanakuona kuna kitu hakiko sawa ingawa hawatakwambia![emoji23] [emoji23] hahaa sasa hata ukionekana hum mdogo ukweli uko palepale. Umezeeke umezeeka tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe mnatuchora tu tunavyotiririka humAngalau akionekana mdogo humu anaweza kwenda na flow ya maongezi humu, unajua kuna umri ukifika automatically kuna stori ukichangia wengine wanakuona kuna kitu haliko sawa ingawa hawatakwambia!
Wapi kina heavent sent, mamdenyi, miss strong, tumboo, atotoo, mamaafacebook mtoto wa tanga, na wale magwiji wengine wa MMU? Hawa nina uhakika wapo humu tena very active ila kwa id zingine![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona povuuu!!
Umenionea wapi Heaven Sent? Isije ikawa nayeye kashabadili id na kujipunguza miaka.
nan mmoja wao!!!?Wewe mmoja wao?
babu upo?Tutafutane basi tuyapange yetu...
Mbwa hazeeki mapafu!Na anazeeka hivyo hivyo!! Hivi tabia hazizeekagi eeh!!!
Hahaaaaaa!! Huyo atoto hata mimi nahisi kabisaaa ndio Sakayo.Wapi kina heavent sent, mamdenyi, miss strong, tumboo, atotoo, mamaafacebook mtoto wa tanga, na wale magwiji wengine wa MMU? Hawa nina uhakika wapo humu tena very active ila kwa id zingine!
Id yako ya zamani ni ipi? Huu uzi umewalenga watu kama nyie!Niambie
Hahaha si umeona kumbe wenye ID za 2012 kushuka chini ni wamama?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona povuuu!!
Umenionea wapi Heaven Sent? Isije ikawa nayeye kashabadili id na kujipunguza miaka.
Kwakweli its about time tufungue mpyaaaaa, za 2017 alafu nakuwa nina only 23yrs, nshomile lazima auvae mkenge.Hahaha si umeona kumbe wenye ID za 2012 kushuka chini ni wamama?