Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Mimi ID yangu ni hii hii na nipo active vizuri tu labda hatujagongana, sina hofu mmama mimi. Kuna watu wazima wenzetu wengi tu wanatupenda sisi wamama because of our age, tupo mature. a.k.a old wine lolWapi kina heavent sent, mamdenyi, miss strong, tumboo, atotoo, mamaafacebook mtoto wa tanga, na wale magwiji wengine wa MMU? Hawa nina uhakika wapo humu tena very active ila kwa id zingine!
Hivi atoto yuko wapi? Usikute yupo busy kujishusha umri pia hahah
Hakuna namna zaidi ya kujipa promo, maana akina RRONDO wanavyotunanga na uzee wetu!!Mimi ID yangu ni hii hii na nipo active vizuri tu labda hatujagongana, sina hofu mmama mimi. Kuna watu wazima wenzetu wengi tu wanatupenda sisi wamama because of our age, tupo mature a.k.a old wine lol
Yaani atoto nafikiri ana miaka 19 tu now, na hivyo na jina linasadifu yaliyomo ndio basi tena.Hivi atoto yuko wapi? Usikute yupo busy kujishusha umri pia hahah
Hahahha sasa hamtoonana nje ya jf? Maana sio mtu ajue anakutana na katoto kabichi only kukutana na bibi kigagulaKwakweli its about time tufungue mpyaaaaa, za 2017 alafu nakuwa nina only 23yrs, nshomile lazima auvae mkenge.
Weeee mbona unatamani umri ustuck, sema ndo Mashavu nayo hayakawii kukuumbua, yashachuma kundeHakuna namna zaidi ya kujipa promo, maana akina RRONDO wanavyotunanga na uzee wetu!!
Haha Msalimie sana kigagula yule.Yaani atoto nafikiri ana miaka 19 tu now, na hivyo na jina linasadifu yaliyomo ndio basi tena.
Na like anakupa kumbe kimoyomoyo anajisemea "ona mama jitu zima ila linacomment kama toto" mweeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe mnatuchora tu tunavyotiririka hum
Tukikutana nasingizia maisha magumu ndio yamenizeesha. Ila umri wangu mdogo tu.Hahahha sasa hamtoonana nje ya jf? Maana sio mtu ajue anakutana na katoto kabichi only kukutana na bibi kigagula
Hahaaaa!! Yaani ukimuangalia mtu unaona kabisaaa ni 38 ila kakomaa kukuambia ni 23, hapo ndipo unajua tu kwakweli hata maharage ni kiungo tu cha kande!!Weeee mbona unatamani umri ustuck, sema ndo Mashavu nayo hayakawii kukuumbua, yashachuma kunde
Hahaaaa!!!Haha Msalimie sana kigagula yule.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tukikutana nasingizia maisha magumu ndio yamenizeesha. Ila umri wangu mdogo tu.
HahahahaHahaaaa!! Yaani ukimuangalia mtu unaona kabisaaa ni 38 ila kakomaa kukuambia ni 23, hapo ndipo unajua tu kwakweli hata maharage ni kiungo tu cha kande!!
Akuuu mi sina ID mbiliiId yako ya zamani ni ipi? Huu uzi umewalenga watu kama nyie!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona povuuu!!
Umenionea wapi Heaven Sent? Isije ikawa nayeye kashabadili id na kujipunguza miaka.
Kwanini unahisi hivyoo aunt unauhskika ganiYaani atoto nafikiri ana miaka 19 tu now, na hivyo na jina linasadifu yaliyomo ndio basi tena.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaaa!, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heaven Sent Dota wake inaitwa huku, usije potea kisha kurudi kama mjukuu wake. [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah siredi zingine tuwe tunawaachia wajukuu tu.Na like anakupa kumbe kimoyomoyo anajisemea "ona mama jitu zima ila linacomment kama toto" mweeeh
Nahisi tu aunty yangu, maana mnaendana endana. Ndio maana zikaitwa hisia aunty, sio lazima ziwe na uhakika.Kwanini unahisi hivyoo aunt unauhskika gani