Blanket hauna???Kimvua hiki napate usingizi sasa bila joto lako?
Sina wangu nakutegemea weweBlanket hauna???
Daaaah mkuu umenikumbusha hawa Lady doctor sosoliso gfsonwin Preta amu DEMBA @mimi49 TUMBOO geniveros miss chagga Miss Neddy Karucee Munkari Heaven on Earth Kasinde Evelyn Salt na wengine wengi hizi brand zimezaliwa upya au? Hiziwiki tena aisee
ha ahahah akiwa malaika
For sure thats destiny my dear, maana kila mnapokwenda bado mnaandamana.
Tumekutafuta kweli tujue ile usio tajia helaha ahahah akiwa malaika
Kuacha bado mapumziko tu nikiangalia juu naona bado tunayo ya vipindiKwema kaka.....nasikitika mvua imeacha kunyesha.....ππ
umeridhika sasa?Tumekutafuta kweli tujue ile usio tajia hela
ha haha na sijui kama nitaacha kuomba hea ya mafuta . hakuna kit kinaniuma kama kuchoma mafuta kumfuata mwanaume huwa nahisi natembelea moyo wanguIla ukianza habari ya pesa tu nakutambua....πππ
Kwanini unamkimbia ex shem?Ex-shem mzima? Kadogo kako nimekaona humu ikabidi nikimbie.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ha haha na sijui kama nitaacha kuomba hea ya mafuta . hakuna kit kinaniuma kama kuchoma mafuta kumfuata mwanaume huwa nahisi natembelea moyo wangu