Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Enjoy aisee, hata Mr Bean kasemaNgoja namimi nifungue ID mpya aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enjoy aisee, hata Mr Bean kasemaNgoja namimi nifungue ID mpya aisee
Kwani walikunywa mbege, Balimi au Kesto laga?hahaha siwataki hata kuwasikia
Yani nilicheka siku ile, aisee mods hawafai.
Naona watu wapo "kaunta"Huu mji mmejificha wapi?
Moja hoti moja koridi....[emoji42] [emoji42] [emoji42]Naona watu wapo "kaunta"
Itakua na kibaridi hikiNaona watu wapo "kaunta"
Hutautambua aisee?Huu mji gani? Morogoro?
[emoji23] [emoji23] khaa ilikuwa lini hiyo mbona sikuiona nikuchekemie sina mkuu na hii tu.. nilifunguaga mods wabaya wakaunganisha acha nionekane kituko sina hamu
bora mke mwenza ukuona ni aibu kubwa watu wengi hawakushtukia[emoji23] [emoji23] khaa ilikuwa lini hiyo mbona sikuiona nikucheke
Arifu zipo mbinu zakubaini zile mambo basic Based on (TBS an TFDA), wajanja Wanajua how to avoid/minimize some errors.Ivi inayumnikanaje kumtongoza mwanamke ambaye humfahamu kwenye JF ?
Tuchukue anakukubalia, halafu siku mliyopanga kukutana mkajihisi wote hampendani, au mmoja anampenda mwenzake mwingine hampendi mwenzake itakuwaje
Au utajuaje kama hutongozi mke wa mtu, au mzee kikongwe, au mwenye umbo mbadala, au mtoto wa shule.
Ni jambo la ajabu kufanywa na mtu makini.
Kwani unaekutana nae barabarani anakuwa na label kwamba ni mke au si mke wa mtu?Ivi inayumnikanaje kumtongoza mwanamke ambaye humfahamu kwenye JF ?
Tuchukue anakukubalia, halafu siku mliyopanga kukutana mkajihisi wote hampendani, au mmoja anampenda mwenzake mwingine hampendi mwenzake itakuwaje
Au utajuaje kama hutongozi mke wa mtu, au mzee kikongwe, au mwenye umbo mbadala, au mtoto wa shule.
Ni jambo la ajabu kufanywa na mtu makini.
Mkuu 'exposure' ni kitu muhimu sana....watu wengi wanaishi ndani ya box.Arifu zipo mbinu zakubaini zile mambo basic Based on (TBS an TFDA), wajanja Wanajua how to avoid/minimize some errors.
Zipo nyingine zinakuwa hit and run terms and conditions applies. Nyingine zinakuwa couples zinazodumu kwa muda Fulani.
Mitandaoni ni sehemu ya makutano kama zilivyo sehem za kawaida tu sema tatizo humu mnaanza kutamaniana bila kufahamiana. "Imagination"
Ulikua nani vile?
Kabisaaa yaani watu wanajiaminisha kuwa humu ni Dunia Nyingine....Mkuu 'exposure' ni kitu muhimu sana....watu wengi wanaishi ndani ya box.
Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..Kabisaaa yaani watu wanajiaminisha kuwa humu ni Dunia Nyingine....
Hawa Warembo Kina Heven Sent, Paprica, Nalendwa, Miss Chagga, espy na wengine wengi wapo humu humu kwenye Jamii zetu.
Jamaa anaona ajabu eti RAIA kutongozana humu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]