Mliobadili ID....

Ivi inayumnikanaje kumtongoza mwanamke ambaye humfahamu kwenye JF ?

Tuchukue anakukubalia, halafu siku mliyopanga kukutana mkajihisi wote hampendani, au mmoja anampenda mwenzake mwingine hampendi mwenzake itakuwaje

Au utajuaje kama hutongozi mke wa mtu, au mzee kikongwe, au mwenye umbo mbadala, au mtoto wa shule.

Ni jambo la ajabu kufanywa na mtu makini.
 
Arifu zipo mbinu zakubaini zile mambo basic Based on (TBS an TFDA), wajanja Wanajua how to avoid/minimize some errors.

Zipo nyingine zinakuwa hit and run terms and conditions applies. Nyingine zinakuwa couples zinazodumu kwa muda Fulani.

Mitandaoni ni sehemu ya makutano kama zilivyo sehem za kawaida tu sema tatizo humu mnaanza kutamaniana bila kufahamiana. "Imagination"
 
Kwani unaekutana nae barabarani anakuwa na label kwamba ni mke au si mke wa mtu?
Kwani mtaani mkigundua hampendani mnafanya nini?

Halafu nani kakwambia humu hatufahamiani? Tupo tunafahamiana vizuri sana.
 
Mkuu 'exposure' ni kitu muhimu sana....watu wengi wanaishi ndani ya box.
 
Mkuu 'exposure' ni kitu muhimu sana....watu wengi wanaishi ndani ya box.
Kabisaaa yaani watu wanajiaminisha kuwa humu ni Dunia Nyingine....

Hawa Warembo Kina Heven Sent, Paprica, Nalendwa, Miss Chagga, espy na wengine wengi wapo humu humu kwenye Jamii zetu.

Jamaa anaona ajabu eti RAIA kutongozana humu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..

Tumefika chuo ile 1st year, so na ugeni ule basi tukitembea ni kwenye makundi makundi. Kaja mkaka akatusalimia "habari zenu warembo " tukaitikia wenyewe. Alichotujibu sasa "Eeeh kumbe na nyinyi ni warembo". Aisee tulicheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…