Yaani sijui nani kalivanga hili ndanga!!Kumbe mdogo wako kaopoa?, mpe hongera! 🙂
Hahaaaa!! Mke mwenza habari za masiku!Akiona ujumbe huu labda ataelewa...namwambiaga mi waifu matirio ila haniamini kabisa
Tokapa na wewe[emoji57] [emoji57] we ndo kinara wa kuniharibiaHahaaaa!! Mke mwenza habari za masiku!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tokapa na wewe[emoji57] [emoji57] we ndo kinara wa kuniharibia
Matirio ya kichina ama??Akiona ujumbe huu labda ataelewa...namwambiaga mi waifu matirio ila haniamini kabisa
[emoji23] [emoji23] unaona sasa mineno yako? Umetumwa na shetani wewe sio bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie tena jamani!! Hadi mume nilikuachia ukamshindwa mwenyewe. Kaboom anadai kukaa na wewe wiki tu akazeeka ghafla!! Hapo mie nimekuharibiaje?
Dadeki..[emoji23] [emoji23] hivi wewe na mkeo mnanitakia nini mimi?Matirio ya kichina ama??
Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie tena jamani!! Hadi mume nilikuachia ukamshindwa mwenyewe. Kaboom anadai kukaa na wewe wiki tu akazeeka ghafla!! Hapo mie nimekuharibiaje?
Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa..Dadeki..[emoji23] [emoji23] hivi wewe na mkeo mnanitakia nini mimi?
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu
Unanitaka sana na unavyotumia nguvu kubwa kunichafua unadhani nitakosa nirudi kwako[emoji57] [emoji57]Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa..
Kisses[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Heaven Sent Douta nakumbuka ulinifundisha jibu la hiyo kauli..Embu nikumbusheUnanitaka sana na unavyotumia nguvu kubwa kunichafua unadhani nitakosa nirudi kwako[emoji57] [emoji57]
Umemiss eeh?Kisses
kwani id mpya inaondoa harufu ya uzee mkuu?Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Matirio ya kichina ama??
We haujamiss?Umemiss eeh?
Akuuu hayo maneno sio yangu ujue!! Ni ya mume nilokuachia ukamshindwa mwenyewe. Ndio nini kunizeeshea baba wa wanangu mapema hivyo!!![emoji23] [emoji23] unaona sasa mineno yako? Umetumwa na shetani wewe sio bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa..