Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Chaa[emoji23] [emoji23] unavyojidai nae huyo bwanako mtu anaweza kudhani ni mtu wa maana kumbe ni mzigo afadhali hata gunia la misumari...na huyo mtoto nahisi 49% inahusika
Huhuhuuuuuuu!! Angekuwa mzigo ungemsarandia? Maneno ya mkosaji.

Mwanangu ni the best of the best duniani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si vile ulikuwa unajidai na mimi nikasema ngoja nione kama yaliyomo yamo...nilijuta yaani huu mwili wangu ungekuwa kama simu ninge-reset kabisa ila ndo hivyo tena yalishatokea
 
Kaboom ukuje kuna ujumbe wako huku.
Mkiambiwaga wanaojua thamani yenu ni wake zenu mnajitia ujuaji, haya sasa ona haya[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si vile ulikuwa unajidai na mimi nikasema ngoja nione kama yaliyomo yamo...nilijuta yaani huu mwili wangu ungekuwa kama simu ninge-reset kabisa ila ndo hivyo tena yalishatokea
Teh teh..Na ile Tattoo uliyochora pajani ungeifuta ama??
 
Back
Top Bottom