Malipo hapa hapa!! Nakumbuka ulivyoninyanyasia mwanangu siku ile.[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Unanitaka sana na unavyotumia nguvu kubwa kunichafua unadhani nitakosa nirudi kwako[emoji57] [emoji57]
Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa..
Nimekoma aisee..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio ukome, si uliyataka mwenyewe!
Chaa[emoji23] [emoji23] unavyojidai nae huyo bwanako mtu anaweza kudhani ni mtu wa maana kumbe ni mzigo afadhali hata gunia la misumari...na huyo mtoto nahisi 49% inahusikaMalipo hapa hapa!! Nakumbuka ulivyoninyanyasia mwanangu siku ile.
Heaven Sent dota njoo uone disco limeingia mang'ati na mashuka yake.
Duuh..Unasema?!!
Duuh..Unasema?!!
Huhuhuuuuuuu!! Angekuwa mzigo ungemsarandia? Maneno ya mkosaji.Chaa[emoji23] [emoji23] unavyojidai nae huyo bwanako mtu anaweza kudhani ni mtu wa maana kumbe ni mzigo afadhali hata gunia la misumari...na huyo mtoto nahisi 49% inahusika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si vile ulikuwa unajidai na mimi nikasema ngoja nione kama yaliyomo yamo...nilijuta yaani huu mwili wangu ungekuwa kama simu ninge-reset kabisa ila ndo hivyo tena yalishatokeaHuhuhuuuuuuu!! Angekuwa mzigo ungemsarandia? Maneno ya mkosaji.
Mwanangu ni the best of the best duniani.
Teh teh....Basi mtoto ni chotara na sisi ni weusi tii..Umefurahi???Chaa[emoji23] [emoji23] unavyojidai nae huyo bwanako mtu anaweza kudhani ni mtu wa maana kumbe ni mzigo afadhali hata gunia la misumari...na huyo mtoto nahisi 49% inahusika
Kaboom ukuje kuna ujumbe wako huku.[emoji23] [emoji23] [emoji23] si vile ulikuwa unajidai na mimi nikasema ngoja nione kama yaliyomo yamo...nilijuta yaani huu mwili wangu ungekuwa kama simu ninge-reset kabisa ila ndo hivyo tena yalishatokea
Nifurahie kitu gani? Najua unajua ila nakukumbusha tu.... I have nothing to do with u guys. Kwenye familia yenu hakipo cha kunifurahisha wala kunisikitishaTeh teh....Basi mtoto ni chotara na sisi ni weusi tii..Umefurahi???
Teh teh..Na ile Tattoo uliyochora pajani ungeifuta ama??[emoji23] [emoji23] [emoji23] si vile ulikuwa unajidai na mimi nikasema ngoja nione kama yaliyomo yamo...nilijuta yaani huu mwili wangu ungekuwa kama simu ninge-reset kabisa ila ndo hivyo tena yalishatokea
Tatoo wapi wewe nlichora tu na wino na wewe ulivyo chenga ukaaminiTeh teh..Na ile Tattoo uliyochora pajani ungeifuta ama??
Hizi ni stress za kutokuwa na Familia..Ukiipata utatuliaNifurahie kitu gani? Najua unajua ila nakukumbusha tu.... I have nothing to do with u guys. Kwenye familia yenu hakipo cha kunifurahisha wala kunisikitisha
Kama familia yenyewe ndo hiyo yenu bora tu nisiwe nayoHizi ni stress za kutokuwa na Familia..Ukiipata utatulia
Wanatupia na profile ka uchocheziWatu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Hahaa shikamoo daddyYani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu
Huwezi kuichafua lami kwa kuipaka mkaa/kiwiHeaven Sent Douta nakumbuka ulinifundisha jibu la hiyo kauli..Embu nikumbushe
Yamemshuka shuu kama mashavu yake yanayochuma kundeMalipo hapa hapa!! Nakumbuka ulivyoninyanyasia mwanangu siku ile.
Heaven Sent dota njoo uone disco limeingia mang'ati na mashuka yake.