Eti ?! Huyo mtani wangu wa siku nyingi.....
Siwezi kushindwa kipaji cha kuzaliwa. Hao wanaokuja WITH ujue ni USED in kind... wanakuja na ID mpya. Wazoefu tumetega kambi kwenye dirisha dogo la usajili.Inasemekana 'ukaguzi' umekushinda siku hizi....! Watu wanaingia bila ukaguzi tena WITH badala ya WITHOUT!
Kumbe wewe mwanaumeWatu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
"dirisha dogo"Siwezi kushindwa kipaji cha kuzaliwa. Hao wanaokuja WITH ujue ni USED in kind... wanakuja na ID mpya. Wazoefu tumetega kambi kwenye dirisha dogo la usajili.
Ndio maana Daby kakimbia kimya kimya kumbe anatega dirisha dogo!
Mkuu janeth1 yukwapi
basi hujui unachokitaka utanitesaKwako wewe napokea chochote kwa mikono miwili.
RRONDO Usiniangushe aseee! Komaaa jamaa angu Namuona Nalendwa anashadadia kwa mbali.basi hujui unachokitaka utanitesa
Wewe!, mie simo. [emoji2]RRONDO Usiniangushe aseee! Komaaa jamaa angu Namuona Nalendwa anashadadia kwa mbali.
Hiyo picha umenichanganyahii ni forum mpya?
Baby J [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]basi hujui unachokitaka utanitesa