Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Pata kibwagizo

Hamtuwashiii, hamtuzimii
Mwaona donge la nini
Kama mnaweza pandeni juu mkazibe
Wanadamu walimwengu kama familia yetu yawakera, mbona watakereka sana
Na watakereka sana

Jicho la kutuonea hawanalo walimwengu
Wanatuonea haya aloturuzuku Mungu
Ya shari watuombea yatufike walimwengu. .....
[emoji38] [emoji38] [emoji38] poor little girl. Beba begi nenda shule mama this is adult stuff. Naona mama yako ameelemewa ameona akufundishe ili uwe unamsaidia..pole sana haya mambo mazito huwezi kuelewa subiri ukue
 
espy Heaven Sent Jovitha Nalendwa kwanini mwanaume najitolea kukupa lift unakataa? Kwa nia njema kabisa nimeona jua kali au mvua inanyesha naamua kukusaidia unakataa! Unajua inauma sana kutoa msaada halafu unakataliwa....jamani sio wote tukiwapa lift tunataka kuwatongoza ni roho nzuri tu ingawa chochote kinaweza kutokea mbele ya safari....acheni hizo
 
Ulikuwa umetabasamu kweli?
Ila ndo vizuri, mtoto wa kike unaanzaje tu kupenda lift za wanaume usiowajua?
 
Back
Top Bottom