What's crackin'?Dude....
Stay away from my Miss NatafutaWhat's crackin'?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] poor little girl. Beba begi nenda shule mama this is adult stuff. Naona mama yako ameelemewa ameona akufundishe ili uwe unamsaidia..pole sana haya mambo mazito huwezi kuelewa subiri ukuePata kibwagizo
Hamtuwashiii, hamtuzimii
Mwaona donge la nini
Kama mnaweza pandeni juu mkazibe
Wanadamu walimwengu kama familia yetu yawakera, mbona watakereka sana
Na watakereka sana
Jicho la kutuonea hawanalo walimwengu
Wanatuonea haya aloturuzuku Mungu
Ya shari watuombea yatufike walimwengu. .....
You will know the city and it's lights[emoji38] [emoji38] [emoji38] poor little girl. Beba begi nenda shule mama this is adult stuff. Naona mama yako ameelemewa ameona akufundishe ili uwe unamsaidia..pole sana haya mambo mazito huwezi kuelewa subiri ukue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii inanihusu mimi au ninyiYou will know the city and it's lights
[emoji22] [emoji22] jiraniiiiiiiiiiiii???Stay away from my Miss Natafuta
mbona sijawahi kuitumia hiyo avatar ya kambona
Ulikuwa umetabasamu kweli?espy Heaven Sent Jovitha Nalendwa kwanini mwanaume najitolea kukupa lift unakataa? Kwa nia njema kabisa nimeona jua kali au mvua inanyesha naamua kukusaidia unakataa! Unajua inauma sana kutoa msaada halafu unakataliwa....jamani sio wote tukiwapa lift tunataka kuwatongoza ni roho nzuri tu ingawa chochote kinaweza kutokea mbele ya safari....acheni hizo
Jitahidi mjuane kwanza then ndo mpeane liftSasa huo si ndio mwanzo wa kujuana?
AhsanteNini tena pacha? Pole na kifungo!
Kumbe kuna vikongwe humu ndani ?Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.