Uhakiki nishamaliza.Ile list ya vyeti feki ushamaliza uhakiki? Kama umemaliza naiomba ni update database ya rasilimali watu.
Kesha aga huyu si wajua week end hii
HahaKulikua na zoezi gani kwani?
Ajabu wadada wanapenda walafi sionutani walimu wao vipofu
Kama umevaa uhusika sawa nikajua heri yngu ila wewe uliingia mzima mzimaMkuu unaniwekea maneno mdomoni....? Mimi navaa uhusika tu, nawasemea wengi humu vinginevyo wanaumia kimya kimya....
Mwenye njaa anaweza onekana mlafi vile hajapata bado mwenye shibe utulivu wake hufanya aongezewe tu sahaniHaha
Manga mimi na wewe nani mlafi teh
Tutabaki kweli mana wasafi hatukubalikiEndeleeni tu kutajana....tutabaki wasafi wachache hapa.
Weeee kuna mdada anatafuta mume na vigezo kibao kasema wazi kabadili idmpya kasema anakupenda sana ila wee ni most wanted humu
M.baguzi wewe
Kesha aga huyu si wajua week end hii
Et mpaka wewe kwa ID yako ileee tayar ntampongeza akinigeia tuHalafu nasikia siku hizi kaanza kutembea na bodyguards, maana wadada walikuwa wanajirusha tu kwake akaogopa case..
Vile nipo mwenyewe hubaki tu na tv ila nikipata mwenza popote naendaWeekend wapi Manga?
Et mpaka wewe kwa ID yako ileee tayar ntampongeza akinigeia tu
Vile nipo mwenyewe hubaki tu na tv ila nikipata mwenza popote naenda
KaribuNyie watu mmeianza weekend mapema hivi?!
Pole pole Jamani! [emoji1]
Nipo na tv tu nasemaUko mwenyewe au kuna mmoja tayari na unataka kuongezea.
Nasikia nyie huwa hamshibi mmoja
Eti kwa faida yetu. [emoji2]Nipo na tv tu nasema
Kutokushiba ni asili hiyo zama chunguza babu zako uta amini hii ni kwa faida yenu lakini