Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Uhakiki nishamaliza.Ile list ya vyeti feki ushamaliza uhakiki? Kama umemaliza naiomba ni update database ya rasilimali watu.
Cha kustajaabisha jf hatufiki hata 1k. I'd za kike ndiyo uhakiki uliishia njiani maana dada yangu espy mwenyewe kajirudia mara 4.[emoji16]