Labda hizo utakuwa umezifungua jana na juzi basiMmmh mbona umenipunguzia namba!!
Doubt not brother.I doubt that...
Nakusalimia tu....
Mpoki huwa anasema "Kingeleza wito.. ''Imenichukua muda kujua amemaanisha 'back to Dar God bless me'
....won't be the same without u.....
Huyu si ulimtongoza mwenyewe huku unaogopa ogopa, mpaka nikashangaa huyu ndio my kaka niliomzoea au mtu kahack ac yake!! Leo ndio nimegundua kumbe unampenda ila unamuogopa RRONDO. Nasubiri aseme anampenda nani kati yenu then niweke msiba tu.Koh koh
Naona unanitongozea. Haya niliyowatongoza mimi wote uliwakataa acha nione
Yaani wewe shukuru umekuwa ndugu yangu. La sivyo ningekuwa nakutongoza kwa siku mara nne na I'd mpyaHuyu si ulimtongoza mwenyewe huku unaogopa ogopa, mpaka nikashangaa huyu ndio my kaka niliomzoea au mtu kahack ac yake!! Leo ndio nimegundua kumbe unampenda ila unamuogopa RRONDO. Nasubiri aseme anampenda nani kati yenu then niweke msiba tu.