Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Koh koh
Naona unanitongozea. Haya niliyowatongoza mimi wote uliwakataa acha nione
Huyu si ulimtongoza mwenyewe huku unaogopa ogopa, mpaka nikashangaa huyu ndio my kaka niliomzoea au mtu kahack ac yake!! Leo ndio nimegundua kumbe unampenda ila unamuogopa RRONDO. Nasubiri aseme anampenda nani kati yenu then niweke msiba tu.
 
Yaani wewe shukuru umekuwa ndugu yangu. La sivyo ningekuwa nakutongoza kwa siku mara nne na I'd mpya
 
Back
Top Bottom