Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Id imezeeka au[emoji23] [emoji23]Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Halafu wewe ndiye nilikuwa nakusubiri hapa.Id imezeeka au[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] ungeniuliza mapema...tayari ushaharibuHalafu wewe ndiye nilikuwa nakusubiri hapa.
Eeh nitajie kale ka I'd kako kapya nisije nikarudia kukutongoza.
Sikuambii ili nikukamate na ubazazi wako
[emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sikuambii ili nikukamate na ubazazi wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sie tumezeeka shauri zako...kwenye hizo mpya ndo wapo wabichi komaa nao utapata by trial and error[emoji125] [emoji125]Mimi nimeamua kukomaa na nyie wenye ID za zamani..ila hizi mpya zinashawishi sana.🙂🙂🙂
Hizo mpya ndio nakutana na miss chagga kwa mara ya nne! 🙂🙂🙂🙂[emoji23] [emoji23] [emoji23] sie tumezeeka shauri zako...kwenye hizo mpya ndo wapo wabichi komaa nao utapata by trial and error[emoji125] [emoji125]
Mkuu umepatia sana yani ha ha haaaaID mpya nyingi zimechangamka sana....ID za zamani zime mute....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila miss chagga atagundulika tu sidhani kama tabia yake ya kupenda hela anaweza kufanikiwa kuificha kwenye id mpya