Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Sitakosea mkuu haya nipe ujuviFanya makosa uniulize mimi hilo swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitakosea mkuu haya nipe ujuviFanya makosa uniulize mimi hilo swali
Hahaaaaaaa kwani ukizeeka so unapata saizi yakoWatu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Sio Inna tena!! My kaka daby anakuharibu.Nimemuweka ndani mtoto huyu. Mambo yake hatari sana
Kwani kuna sehemu umeona nimemkataa inna.Sio Inna tena!! My kaka daby anakuharibu.
Yani hivi karibuni ndo nimestuka kama ni R niliamini ni BKila mtu anaita macho yake 'yanachoona'
Hi Jovie... Nakuona umetokelezea...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134]
Napendagaa vibaya ndiyo maana hiyo michezo siiitakiNiambie mchezo wako upendao
Mkuu kama umenitusi nikuombe radhi hii picha ya zombi imeingiaje apo?Mi niko vizuri kichwani, siwezi kukosa majibu
![]()
Nshapiga hatua siku hizi navaa viatu vinavyoshonwa na kompyutaHivi hii zawadi uliitunza kweli maana nilizinunua bei mbaya sanaView attachment 506360
Hahaaa pichan am beautiful jamani
Eti eeh hivi hatulingani kweli?Hahaaaaaaa kwani ukizeeka so unapata saizi yako
hakikisha unapiga menu ya kutosha, usije ukatuaibisha jopo la wakaguzi
![]()