Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Ulichagua hapa?
ja8bqv.jpg
Huu ni unyanyasaji...sasa nitachagua yupi nimuache yupi....hapa ndio naona umuhimu wa kusilimu!
 
Aunty unakosa adabu siku hizi eeeh!!! RRONDO sijawahi hata kumshika mkono atakuwaje mtalaka wangu? Huyo ni ex shemeji, mdogo wangu alimkimbia sababu ya ubahiri.
Teh teh kunamahali nimepita nimeona mambo nisiyoyaelewaa.....nikapatwa na sintofaamuu.......
Kumbe niwashangazi yng mwingineee
 
Back
Top Bottom