Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa kuna wale anajiunga leo anaanzisha uzi halafu ukicomment anakuja pm anakuambia Nashukuru kwa kucomment haha... wazee mnaakili nyie [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa kuna wale anajiunga leo anaanzisha uzi halafu ukicomment anakuja pm anakuambia Nashukuru kwa kucomment haha... wazee mnaakili nyie [emoji23][emoji23]
Hata kama sijakununulia unapaswa kunisalimu [emoji57]Mkwe na wewe habari ya kunifuata kwenye vijiwe vyangu nimekataa
Na kile kimbilimbi?Em sema ukweli...
Mimi si nimeitoa...
Ndio nimepigwa na butwaa hapa!! Au ushambadilishia undugu?Mpwa, kwa hiyo ulijua upo kwenye I'd yako ya ujanani eeh... I'm curious to it..
Sister tusaidiane hapa maana dota tayari kashafungua yake
Hem mlete apa tuone kitukoMkwe yupo hahahahaha...
Haha
Mkwe wangu huwa sipendi kumsumbua, kama umempenda yule shemeji yangu we sema.Hahaha... Niitie mkweo basi aje huku
Hapana naona anarithi tabia za upande wa wajomba tu.Ndio nimepigwa na butwaa hapa!! Au ushambadilishia undugu?
Kabisaaaa!! Unaisoma na kuipotezea tu.Na naamini ni wakongwe new comer hawezi pata huu ujasiri. [emoji16][emoji16]
Kumbe umekiona, hapo sawa, mi nilijua ulisinzia maana...Na kile kimbilimbi?
Itakua kwenye id ingine ataje apaHahahahaha daaah, Yani nimechekaaaa
Ze meny idizi hapenidi.Haha jamani I don't know what happened
Mkwe wako tulishindwana baada ya kugundua anandoa badoMkwe wangu huwa sipendi kumsumbua, kama umempenda yule shemeji yangu we sema.
Tatizo nipo busy bana na ile mada ya mama mkwe. Sasa nashangaa nikaandika mkwe huku mweeeMpwa, kwa hiyo ulijua upo kwenye I'd yako ya ujanani eeh... I'm curious to it..
Sister tusaidiane hapa maana dota tayari kashafungua yake
Mkwe ni hao dogodogo wananiletea ubuyu, achana nao mamaMkwe na wewe habari ya kunifuata kwenye vijiwe vyangu nimekataa
Nipo kwa mkweoKwani uko wapi dota?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahaha aaàh wapi yaani from anko to mkwe
Khaa hapana asee acha ochocheziHuyo ni binti yangu, wataka kula mama na mwana?