Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkwe ni mstaafu wa jeshi vyeo vikubwa kabisa wakati mimi bado Vumilia VumbiM babe eeh? mana si kwa mkwara huo
Hahahaa...kama ambavyo niko mbioni kufungua mpya..Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Bola umejisemea ulikua nani mwanzo vileeWengine tulibadili ID ili tutongozwe kwa mara ya pili.
Umesahau?Hivi nilishakutongoza wewe?
Kama bado nianze mapemaaaa
Mkwe unaniita nikuletee wine?Ameoa binti yangu huyu
Mimi niko double mkuuBola umejisemea ulikua nani mwanzo vilee
Halafu unajua kua mimi nipo single?
Yeye ndo haniheshimu yaani mtu nimemzalia mke ila ananiona kama mwenzieHuna heshima na wakwe wewe mbona mkwara mzito hivi?
Kazi unayo usipige mwanae mkuu hata akikunyima vumilia tuMkwe ni mstaafu wa jeshi vyeo vikubwa kabisa wakati mimi bado Vumilia Vumbi
Muache Mkwe mkuu, sichelewi kuamrishwa nikapike ukweni. Si unajua heshima za jeshiHuna heshima na wakwe wewe mbona mkwara mzito hivi?
Niweke kwapani akati nasubili single uvunguni naenea mimi usihofu kufumwaMimi niko double mkuu
Ndiyomaana "natii shurti bila sheria"Kazi unayo usipige mwanae mkuu hata akikunyima vumilia tu
NisubiriUsiende kwanza PM weee...
Nikumbushe ID ya mwanzo mkuuUmesahau?
Nimekuelewa sama yeye yupo nyumanyuma tu au alizani ni wakwe w dotcom nini?Yeye ndo haniheshimu yaani mtu nimemzalia mke ila ananiona kama mwenzie
Nazijua mkuu usipige mwanaeMuache Mkwe mkuu, sichelewi kuamrishwa nikapike ukweni. Si unajua heshima za jeshi
Mkwe nakuheshimu sana, ni hawa vijana wanaleta majungu....Yeye ndo haniheshimu yaani mtu nimemzalia mke ila ananiona kama mwenzie
Marhaba hajambo binti yanguMkwe nakuheshimu sana, ni hawa vijana wanaleta majungu....
Kwanza shikamooo tena.......
Ha ha haaa hii isiwe ya dhihaka tuMkwe nakuheshimu sana, ni hawa vijana wanaleta majungu....
Kwanza shikamooo tena.......
Yaah ukuje nikunong'oneze, mkwe asisikieNisubiri