Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Hajambo mama, na watoto hawajambo kabisaa....Marhaba hajambo binti yangu
Amesema nikupeleke out palee unapopanda mkwe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajambo mama, na watoto hawajambo kabisaa....Marhaba hajambo binti yangu
Hii yote ni adabu na utii..Ha ha haaa hii isiwe ya dhihaka tu
Mkuu nilichojifunza zipo sababu nyingi za binafsi zinazowasukuma wao kufanya hivyo.Unabadili ID ili iweje? Hebu tuwekee sababu za kina za kuwa na ID zaidi ya moja na unapozitumia hutaki watu wajue kwamba una ID A, B, C labda na kuendelea
Mkuu nilichojifunza zipo sababu nyingi za binafsi zinazowasukuma wao kufanya hivyo.
Miongoni mwa sababu Kwa Mfano unakuta MTU ana ID Fulani Kwa ajili ya kushiriki mijadala ile moto moto ya kiheshima heshima hivi as GT's tunaelewa, alafu anakuwa na nyingine Kwa ajili ya "stress free zone" itakayomuweka huru kusema lolote popote bila kikwazo na ID hizo nyingi zipo kule MMU na Jukwaa la Wakubwa.
Pia Kwa Sababu mbali mbali unaweza Kuta ID Fulani MTU Fulani kashaifahamu Kwa hakika kabisa (Wenzi wanaweza husika hapo) sasa hupelekea kukosa Uhuru kabisa wakushiriki mijadala Fulani Fulani hususani ile "chit chat" na mengineyo.
So Kwa uelewa wangu hizo zaweza Kuwa kati ya sababu miongoni ya nyingi za binafsi.
Wajanjaa tutajua mwandiko wako tu
Mkuu hata mimi sionekani humu ndiyo ninapiga debe hivi.Kumbe humu mnatongozanaga eeh mbona mimi hamnitongoz aisee
Eti huyu Nalendwa ni mpya sasa amemjulia wapi @atoto
Yawezekana alikuwa anaperuz km guest, kabla sijajiunga rasmi jf nilikuwa namsoma sana lara1,demba,nyani ngabu,watu 8,masai dada,heaven on earth,kaizer, kwahiyo upya haumaanishi kutokumjua mtu.
[emoji23]Mkuu hata mimi sionekani humu ndiyo ninapiga debe hivi.
Unataka nikutongoze? Taja kwqnza ID yako ya uzeeni nijimuvuzishe kabla wanga hawajakujaKumbe humu mnatongozanaga eeh mbona mimi hamnitongoz aisee
We Nisubirie Mimi punde Utaniona mubashara huko PM! Utanikubaliiia?Kumbe humu mnatongozanaga eeh mbona mimi hamnitongoz aisee
Sjawai badilUnahamu nikutongoze? Taja kwqnza ID yako ya uzeeni
Kwan ww pesa siunazo? Mihua stakag nying lknWe Nisubirie Mimi punde Utaniona mubashara huko PM! Utanikubaliiia?
Happy mungu anakuona mama hebu saura hiyo I'D bwana wewe ndiye atoto au lizy?Sjawai badil
Kwakweli not to zati eksitenti!!Anataka kunirithi kwenye kubadilisha vyeo vya undugu.. from anko to mkwe sio mchezo
Hahaaaaaa Nimecheka Kwa Sauti Kubwa hapa... Jamaa wamegeuka kunishangaa[emoji23] [emoji23]Hahaha.. haya mambo achana nayo bwana I'd za kuanzia 2016 huwa hata avatar iwe inaita kwa namna gani siingii pm hata kwa kuitwa
Kigezo cha Kwanza umekipita[emoji818]Sjawai badil
[emoji15]Happy mungu anakuona mama hebu saura hiyo I'D bwana wewe ndiye atoto au lizy?