Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Asante mwenyeji wangu kwa ukarimu wako wewe na Daby maana kweli najihisi mwenyeji japo mgeni
Ila tu nomba mnionyeshe kasehemu ambapo naweza ekeza Roho yangu [emoji2] [emoji2] [emoji2]

cc Daby
Mkuu huko kwa Kuwekeza roho yako we e anzisha Uzi tuu weka na vigezo.. Watakuja kibao wenye nia kama yako mtachaguana na Ku bargain hadi kufikia hitimisho.
 
Back
Top Bottom