Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kwani msibani kuna vigelegele?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani msibani kuna vigelegele?
Thanks Lord mume wangu hayumo kwa kundi hilo.Hadi tutajane wewe ushamjua
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Haha
Acheni ni deal na I'd ya kalanga2 nitawaletea mrejesho.
Espy naomba kama ni wewe uniambie mapema
Thanks Lord mume wangu hayumo kwa kundi hilo.
Hahahaaa!! Sasa nani anautaka uzee kwamfano!!Haha tena mnarembaga hadi miandiko na wakati wa kuandika mnachagua visawe na misimu ya vijana vijana ili msionekane wazee
Kama sio wewe shiiii[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji16][emoji16]Hahahaaa!! Sasa nani anautaka uzee kwamfano!!
Huko mjini hakuna labda...Kwani msibani kuna vigelegele?
Ulipokuwa shemeji yangu taabu, now ni kaka yangu taabu tena!![emoji134] [emoji134] [emoji134]Acha tu tuwe tunafichiana siri.
Wow
nipandishe cheoUlipokuwa shemeji yangu taabu, now ni kaka yangu taabu tena!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Jamani ni shida tu za dunia ila mwaka huu ndio natimiza 20, kweli tena.[emoji16][emoji16]
Mashavu yamekudondoka halafu tudanganyane eti una 23 hahah
Huku kijijini kwetu hakuna.Huko mjini hakuna labda...
Ila huku kwetu katerero kina mama huwa wanapiga, mtu ukisikia tu unajua hiki cha msibani
Kigelegele kinalia
[emoji3][emoji16][emoji3] .Jamani ni shida tu za dunia ila mwaka huu ndio natimiza 20, kweli tena.
Hayo mengine tutamsingizia tu Mungu au shetani maana hamna namna.[emoji3][emoji16][emoji3] .
Hivi unajua unaweza kupunguza miaka ila menopause haipunguziki? [emoji125] [emoji125] [emoji125]