Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakimu mie mwenyewe.Ha ha ha ha kesi ya nini hakimu nani?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Miss natafuta hajambo?Aah mimi kunguru nakimbiza bawa langu....
Fitna gani kaka yangu? Mie si namjulia tu hali wifi yangu jamani!!Wewe mdada una fitina....
Joanah mchumba[emoji4]Haahahh
Fuatilia mwandiko
Mwandiko wa mtu unagundulika kirahisi
Hawa kaka zangu walishanishinda, bora wale wengine.
Umeamua kubadili mwelekeo wa salamu. [emoji1]From me to u.....🙂🙂
HahahaJamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Si bora kutongozwa una hiari ya kukataa au kukubaliHofu hasa ni ya kutongozwa au?