Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka kunioa?Ha haa haaa halafu wewe kidogo nikuoe unakumbuka?
ndoa inakomoa mtu?Aisee...! Ungemuoa umkomeshe....
Haha huyo ni Mtambuzi na mentor...
Haha ila kuna picha umeweka pale ya huyo mdada mwenye musitachi sijui umeanza lini utani na
Huyu unamfahamu?Haha ila kuna picha umeweka pale ya huyo mdada mwenye musitachi sijui umeanza lini utani na
Miss Natafuta

[emoji3][emoji3][emoji3] hiki si kiungo cha naniii hiki
kumbe ndo maana huoi sio?Sasa kukuzuia usionje dushe nyingine si kukukomoa huko? Wewe ule maharage kila siku wakati kuna samaki,nyama,mchicha kama sio kukomoana ni nini hicho?
ahahahaaaa nikajua mtu kweli