Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Anamdhalilisha shemeji yako aisee,Hivi hili kaka yako natakiwa nilijue eeh
Ana mtoto halafu anasema bikira!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamdhalilisha shemeji yako aisee,Hivi hili kaka yako natakiwa nilijue eeh
Ndio, maana umeyaanza mwenyewe.Hivi hili kaka yako natakiwa nilijue eeh
Hivi hii trend ya kutuma tuma mapicha mmeitoa wapi!!
Huyo sister bwana sio shemeji.Anamdhalilisha shemeji yako aisee,
Ana mtoto halafu anasema bikira!!
Nimpe simu uongee nae? Maana yuko busy hapa na movie utadhani kuna tuzo za watazamaji bora.
Sasa mimi si nilikuwa nakunadi kwa wanaume mitaani wewe umeingilia.Ndio, maana umeyaanza mwenyewe.
Unaninadi kwa nani? Ujue nina mume mimi!!Sasa mimi si nilikuwa nakunadi kwa wanaume mitaani wewe umeingilia.
Ili uchepukeUnaninadi kwa nani? Ujue nina mume mimi!!
Ooooh!! Unajifanya mjanja eeeh!! Basi kaa hapo hapo ukisubiri kupigiwa.Atanipigia mwenyewe simu yako ya bei rahisi ina mionzi mikali sitaki apate matatizo...
Mie sichepuki wewe, ninachokitaka nakipata kwa the one and only, si unamtambua mwenyewe shemeji yako alivyo bonge la bwana? Nihangaike na nini tena zaidi ya kumwambia Mungu ahsante!!!Ili uchepuke
HahahaMie sichepuki wewe, ninachokitaka nakipata kwa the one and only, si unamtambua mwenyewe sgemeji yako alivyo bonge la bwana? Nihangaike na nini tena zaidi ya kumwambia Mungu ahsante!!!
Hicho nilichoongea kimetoka moyoni kabisa, sio cha kijf jf ujue[emoji12]Mbona hum- cc kama mapikipiki? 🙂🙂🙂🙂
Amen my brother[emoji120] [emoji120] [emoji120]Hahaha
Naomba kweli ukisemacho kikawe ngao ya unayoyaishi.
Aaah pacha acha hizo bhanaaNani kakudanganya sina wivu...?