kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Vipi jamani, mambo yameendaje huko?
Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama amekwisharudi ila akaniambia yeye ni kama alienda kutalii tu huko Dodoma maana pepa haikumwendea poa kabisa, nikamuuliza nini kigeni walichokiuliza kwenye huo mtihani akaniambia acha tu kaka.
Jamani ebu mtupe mrejesho mtihani ulikuaje ili nasi tupate cha kujifunza hapa.