Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

Wakuu nina changamoto ya kujiandikisha tume ya ajira, hasa kipengele cha ku update taarifa za Nida, nisaidieni, maana wanauliza maswali ambayo nishasahau, mfano jina la mtaa uliojindikisha,na wanataka usikosee herefuli,
 
Rudia as many as you can until you get two Questions with Your correct answers
 
Acheni kushinda Instagram kuangalia makalio ya watoto wazuri.muwe mnajiandaa vyema, pamoja na uzee wangu huu ila huo mtihani naweza kuujibu hata sasa hivi bila kufanya reference yoyote.
Una uzee gani we mwalimu tarajali?
 
Hello guys. Kwa wakazi wa Moshi/Arusha kuna usafiri private kwa watu wanne interested.
Bei ni Tshs elfu 65 tu Go and return.
Tutaondoka jumamosi tarehe 17/12/2022 saa moja asubuhi.
PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 17 hadi Dodoma mjini.
2. Usafiri kutoka Dodoma mjini hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani tarehe 18 saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).
3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini tutakapofikia.
4. Baada ya interview usafiri hadi Moshi stand. Siku ya tarehe 19 saa moja asubuhi.
✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
DM if interested.
N.B HUU NI MSIMU WA SIKUKUU, UNAWEZA UKAKWAMA EITHER KWENYE GARI ZA ABIRIA KWENDA AU KURUDI, AU NAULI KUPANDA KUPITA KIASI.
MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO MWISHO SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 16/12/2022 SAA SITA MCHANA
 
Back
Top Bottom