Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

watu wameungua huko kinoma lile nyomi watu wamepiga namba za viatu ngoja washushe mkeke mzima kama wa ict yaani wa kwanza ICT sijui kama kafika hata 60
 
Tunataka mkeka hayo ya kimya kimya ndio nn

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Kwa maswali yaliyoletwa hapa, haiwezekani vijana wengi wakose hizo nafasi, waweke hayo matokeo ili watu waone. Niliona hata TAKUKURU vijana wamelalamika sana nikachukulia poa, ila nimewaza nimehisi ndio nafasi za wao kuwapanga watu wao. Inawezekanaje mtu aone matokeo yake binafsi bila ya jumla kuwepo.?
 
Hata shortlisted walianza kutuma majibu kwenye account then wakaupload kwenye website ya ajira. Nafikiri kesho watatoa mkeka. Ni system ya sasa ilivyo. Ile paper ilisimamiwa na watu wa TRA,UTUMISHI,POLISI, na TISS [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. So fair haipo na hata ikiwepo ni ndogo sana.
 
Kuna usanii mwingi Sana,
 
Kuna usanii mwingi Sana
 
Hata shortlisted walianza kutuma majibu kwenye account then wakaupload kwenye website ya ajira. Nafikiri kesho watatoa mkeka. Ni system ya sasa ilivyo. Ile paper ilisimamiwa na watu wa TRA,UTUMISHI,POLISI, na TISS [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. So fair haipo na hata ikiwepo ni ndogo sana.
Mimi nahisi ile imechakachuliwa Kwa sababu waliuliza maswali rahisi sana ya Tax Law
 
Hata shortlisted walianza kutuma majibu kwenye account then wakaupload kwenye website ya ajira. Nafikiri kesho watatoa mkeka. Ni system ya sasa ilivyo. Ile paper ilisimamiwa na watu wa TRA,UTUMISHI,POLISI, na TISS [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. So fair haipo na hata ikiwepo ni ndogo sana.
Ooh hapo sawa, kumbe wanaanza kutoa kwenye akaunti kisha wanatoa PDF. Ila kusimamia mtihani ni kitu tofauti na kusahihisha na kuupload matokeo. Sijui kama umenielewa hapo.
 
Vipi jamani, mambo yameendaje huko?

Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama amekwisharudi ila akaniambia yeye ni kama alienda kutalii tu huko Dodoma maana pepa haikumwendea poa kabisa, nikamuuliza nini kigeni walichokiuliza kwenye huo mtihani akaniambia acha tu kaka.

Jamani ebu mtupe mrejesho mtihani ulikuaje ili nasi tupate cha kujifunza hapa.
Hayo maswali ya kawaida, la CIF kidogo ndio changamotoo walioipata wengi nazani.

Ila ushindani mkubwa
 
Back
Top Bottom