Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
Mme-review pepa ya tax management tuu, custom ilikuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mlikua na ahueni kidogo nyieUpande wa Custom Assistant maswali yalikuwa baadhi
1. What is international trade , 3 types za international trade.
3. True and false ili base kwenye BDV. Vipengele 10.
4. Wht is Custom valuation an explain at least method of valuation.
5.ilikuwa hesabu .
3. Kipengele cha tatu kama sikosei ilikuwa udifferentiate
Between harmonized system na transit shed.
Duh..kazi kweli kweliUpande wa Custom Assistant maswali yalikuwa baadhi
1. What is international trade , 3 types za international trade.
3. True and false ili base kwenye BDV. Vipengele 10.
4. Wht is Custom valuation an explain at least method of valuation.
5.ilikuwa hesabu .
3. Kipengele cha tatu kama sikosei ilikuwa udifferentiate
Between harmonized system na transit shed.
Na walifanya ya custom officerUpande wa Custom Assistant maswali yalikuwa baadhi
1. What is international trade , 3 types za international trade.
3. True and false ili base kwenye BDV. Vipengele 10.
4. Wht is Custom valuation an explain at least method of valuation.
5.ilikuwa hesabu .
3. Kipengele cha tatu kama sikosei ilikuwa udifferentiate
Between harmonized system na transit shed.
We ulifanya ipi?Na walifanya ya custom officer
Wewe ulifanya ipi mkuu? Nakumbuka kama ulikuwa unafurahia kuliona jina lako kwenye pdf.Na walifanya ya custom officer
Hii pepar pure CPAHii paper kama hujasoma Chuo cha Kodi Tanzania au CPA hutoboi
Mmmh hapa kama hukusoma huwezi toboa.Maswali ninayoyakumbuka yalikuwa kama ifuatavyo kwa kiingereza changu kibovu .
1-10 multiple choices zimesimama hatari.(10 marks)
11a.Differentiate btn International double taxation and domestic double taxation.
b.reasons for occurance of International double taxation.
c.mention two methods of double taxation
12a.Give similarities and differences between exempt VAT and zero rated vat.
b.conditions for a trader to be registered into VAT.
c.effects of VAT to a trader.
13a.Reasons for Tax disputes and measures to control them.
14.write down the procedures to solve the incidence of Tax disputes.
15.ilikua swali la kusolve duties/Tax liabilities za CIF.(25 marks)
Note,hii lilikua paper ya Tax management officer ii
Mi mtu akiwasifia chuo cha kodi huwa nashangaa sana, tena sana. Moja ya vilaza wakubwa hapa kazini ni hao waliotoka ITA. Yaan vilaza mno, weupe peee.sio kitoto hayo maswali labda kwa waliosoma chuo cha kodi akufukuzae akwambii toka
Mi mtu akiwasifia chuo cha kodi huwa nashangaa sana, tena sana. Moja ya vilaza wakubwa hapa kazini ni hao waliotoka ITA. Yaan vilaza mno, weupe peee.
Mtu wa ITA anapewa EXAMINATION anafanya vitu vya ajabu tu. Good TAX MANAGEMENT OFFICER ni yule aliyesoma ACCOUNTS, mostly wanajua kila angle ya kodi na Uhasibu, hivyo hurahisisha ufanyaji wa kazi, hata kugundua ukwepaji wa kodi kitaalamu Wahasibu wako mbali sana kuliko vilaza wa ITA.
Duh.sio kwamba una bifu nao mkuu?Mi mtu akiwasifia chuo cha kodi huwa nashangaa sana, tena sana. Moja ya vilaza wakubwa hapa kazini ni hao waliotoka ITA. Yaan vilaza mno, weupe peee.
Mtu wa ITA anapewa EXAMINATION anafanya vitu vya ajabu tu. Good TAX MANAGEMENT OFFICER ni yule aliyesoma ACCOUNTS, mostly wanajua kila angle ya kodi na Uhasibu, hivyo hurahisisha ufanyaji wa kazi, hata kugundua ukwepaji wa kodi kitaalamu Wahasibu wako mbali sana kuliko vilaza wa ITA.
Ila ndio wanaongoza kupata kazi traDuh.sio kwamba una bifu nao mkuu?
Sio bifu, hawana akili. Ninafanya nao kazi, wengi hawajui kujiongeza au hata kufikiri nje ya box. Amini nakwambia hamna kitu wale jamaa. Mbaya zaidi GPA zao sasa ni 4+ karibu chuo chote.Duh.sio kwamba una bifu nao mkuu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mpeleke mwanao sasa akasome pale kama mnadanganyana hivyo.Ila ndio wanaongoza kupata kazi tra
kuna taarifa kuwa walimu wao ndiyo wametunga ile pepa ya juzi ya usaili TRA,zina ukweli hizo?Sio bifu, hawana akili. Ninafanya nao kazi, wengi hawajui kujiongeza au hata kufikiri nje ya box. Amini nakwambia hamna kitu wale jamaa. Mbaya zaidi GPA zao sasa ni 4+ karibu chuo chote.
Wangetunga wao ungeshavuja muda sana.kuna taarifa kuwa walimu wao ndiyo wametunga ile pepa ya juzi ya usaili TRA,zina ukweli hizo?
Eeh..sawa mkuuWangetunga wao ungeshavuja muda sana.
Paper zote nimeona maswali yake.Eeh..sawa mkuu