Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

Mbona yanaeleweka tu hayo, tuache kulalamika kina

Hii paper iko standard sana, cha msingi ni kujiandaa tu na hayo mambo.
KUTOKA 3:14

"Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;
akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO
amenituma kwenu."

Maswali ninayoyakumbuka yalikuwa kama ifuatavyo kwa kiingereza changu kibovu .
1-10 multiple choices zimesimama hatari.(10 marks)
11a.Differentiate btn International double taxation and domestic double taxation.
b.reasons for occurance of International double taxation.
c.mention two methods of double taxation
12a.Give similarities and differences between exempt VAT and zero rated vat.
b.conditions for a trader to be registered into VAT.
c.effects of VAT to a trader.
13a.Reasons for Tax disputes and measures to control them.
14.write down the procedures to solve the incidence of Tax disputes.
15.ilikua swali la kusolve duties/Tax liabilities za CIF.(25 marks)
Note,hii lilikua paper ya Tax management officer ii

Huu ndio mtihani unaolalamikiwa au ni kutokusoma tu?

Ni rahisi kwa wewe uliyesoma TAX
Hebu chukulia mtu aliyesoma Economics anatokaje hapo?

#YNWA
 
Lakini how comes wewe mchumi,accountant au mwengine umeomba kazi ya tax mngmnt officer hlf usijikite kwenye nondo za tax?kumbuka pale sio chuoni, wanatafuta mfanyakazi wa fani husika

Nilishawahi fanya Kazi za uhasibu nikitokea form 6 PCB.
Kazi zinafundishika, ila sikuona sababu ya mchumi na muhasibu kumpa mtihani wa tax.

Kuna general knowledge nzuri tu ingefaa.

#YNWA
 
Wakuuu naombeni msaaada kidogo nina taka kuandika cover letter ishu za Human Resource Management mwenye anaelewa kidogo anisadie au mwenye sample
Cover letter ni barua ya Kazi.

Google.

#YNWA
 
Acheni kushinda Instagram kuangalia makalio ya watoto wazuri.muwe mnajiandaa vyema, pamoja na uzee wangu huu ila huo mtihani naweza kuujibu hata sasa hivi bila kufanya reference yoyote.

Kama ni maswali haya basi wengi watafaulu sana maana hapa ni swala la kusoma tuu na kuelewa!

Niseme tu ukweli paper za safari hii zilikuwa rahisi mno changamoto zimetoka upande wa Tax na custom . Sasa kama ukula msuli vizuri ilikuwa changamoto lakini nafikiri pia lengo lao ni kuchukua watu wa chuo cha kodi maana paper imebase sana kwao.

Sasa Mimi niliyesoma economics nitasua vipi?
Walitaka lecturer au officer?

Kwani wangeshindwa kuuliza maswali ya general knowledge yasiyokuwa biased.

Sio wotee walisoma chuo cha kodi.

Mi binafsi nilitoka form 6 nikapata tempo la uhasibu..!!!

NILIFUNDISHWA nikawa natoa voucher safi kabisa.

Kwenye ile interview walitaka kujua kama najua kutumia computer na hesabu basi.

Debt na credit nilizijulia kazini na Kazi nilifanya vizuri tu.

Sema TRA kama lengo lao lilikuwa ni kuchukua wanafunzi wao WASINGEPOTEZEA WATU MUDA.

Mbona Kuna interview moja walipigisha watu na waliuliza maswali general na current news kama makinikia?

Makinikia hayakuhitaji Shule yalihitaji mtu wa kufatilia news.

Unataka mtu aliyemaliza chuo 2014 akumbuke ya kwenye daftari?

Subiri Post za Economics mkuu. Haya malalamiko yote inaonekana ulienda kwenye interview ya kada ambayo huifahamu kiundani.
Wakati wako utafika. Keep calm.
 
Haya ni maswali kuwakomoa watahiniwa. Tangazo lilitaka waombaji watoke nyanja mbalimbali kama sheria, uhasibu, uchumi, kodi, biashara n.k. Sasa wanaletewa mswali ambayo yamafundishwa Chuo Cha Kodi. Mikocheni. Kile ndio chuo maalumu kinachufundisha mswala ya kodi.
Maswali hayo utayakuta kule chuo cha kodi tu. Sio vyuo vingine.
Walitaka kuwakomoa tu na kuwapunguza.
Maswali kwa kawaida huulizwa ya jumla ambayo kila nyanja inaweza kuyajibu.
Mkuu mimi nimesoma sheria lakini hayo maswali ya Tax Management Officer II ningeyapiga vizuri tu..kama umesoma Tax Law unayajibu vizuri kabisa...yamekaa kisheria kiaina na kingwini kimtindo
 
Subiri Post za Economics mkuu. Haya malalamiko yote inaonekana ulienda kwenye interview ya kada ambayo huifahamu kiundani.
Wakati wako utafika. Keep calm.
SIKUBAHATIKA KUITWA ila si mbaya ukisemea wanyonge, then Nina ajira hivyo nilitaka kutumia nafasi hiyo kuhamia TRA.

Post zao zilihitaji mpaka mtu law.

Sasa braza mtu aliyesoma law, accounts, economics, tax UNAWAULIZAJE MASWALI BOOKISH KWA PAMOJA TENA YALIYO EQUAL?

#YNWA
 
Sheria unasoma Tax Law humo hizo double taxation na principles zake zimo na jinsi ya kuzi avoid..pia ukisoma Internationa Trade Finance Law hayo maswala ya CIF, Customs yamo humo ndani...yani sheria hakunaga hesabu tuu...
Mtu aliyemaliza chuo 2014 unamuulizaje BOOKISH QUESTIONS?

Kwani hakuna general questions za kupima compitent ya mtu?

#YNWA
 
Mtu aliyemaliza chuo 2014 unamuulizaje BOOKISH QUESTIONS?

Kwani hakuna general questions za kupima compitent ya mtu?

#YNWA
Hawa jamaa achana nao asee pepa ukiwa nje lazma uone simpo mana una mda woteee duniani wa kufikiria sio kama ukiwa under pressure...

Kwa kifupi hyo pepa ngumu sio tu kwa aliyemaliza 2014 hata aliyemaliza 2021 ka hajatulia hapo anajaza moja au mawili kwa kupekua....

Masela waliomaliza chuo miaka 5+ pepa za UTUMISHI kazi wanayo kabla hawajapata hyo kazi

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Maswali ninayoyakumbuka yalikuwa kama ifuatavyo kwa kiingereza changu kibovu .
1-10 multiple choices zimesimama hatari.(10 marks)
11a.Differentiate btn International double taxation and domestic double taxation.
b.reasons for occurance of International double taxation.
c.mention two methods of double taxation
12a.Give similarities and differences between exempt VAT and zero rated vat.
b.conditions for a trader to be registered into VAT.
c.effects of VAT to a trader.
13a.Reasons for Tax disputes and measures to control them.
14.write down the procedures to solve the incidence of Tax disputes.
15.ilikua swali la kusolve duties/Tax liabilities za CIF.(25 marks)
Note,hii lilikua paper ya Tax management officer ii
Ambao walikuwa walipitia PDF la NBAA watapasua
 
Sheria unasoma Tax Law humo hizo double taxation na principles zake zimo na jinsi ya kuzi avoid..pia ukisoma Internationa Trade Finance Law hayo maswala ya CIF, Customs yamo humo ndani...yani sheria hakunaga hesabu tuu...
Me nimesoma PSPA, ila kwa maswali hayo sikosi 50%+.
 
Back
Top Bottom