Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

Kwa Hiyo mkuu unataka kutuambia kwamba walimu wa ITA sio waadilifu/ hawajui kutunza siri
We unaonaje mzee?? Madogo wengi wa ITA hutafuta sana paper kutoka kwa walimu pale. Na mara nyingi hizo paper wanaokuwa nazo ni hao madogo. So utapata jibu ww mwenyewe.
 
We unaonaje mzee?? Madogo wengi wa ITA hutafuta sana paper kutoka kwa walimu pale. Na mara nyingi hizo paper wanaokuwa nazo ni hao madogo. So utapata jibu ww mwenyewe.
Mkuu unatuhumu, unadharau, unatweza na kubagua watu na unaongea vitu kwa confidence kubwa utafikiri unavyovisema vina ukweli saaana. Hebu kuwa na kiasi.
 
Nimekukwaza? Samahani mkuu, mitandaoni humu, chukua kile kinakufaa vingine achana navyo.
Hujanikwaza ila umejitahidi kujionesha wewe ni m'bora kuliko wengine kitu ambacho kinabagaza personality yako pia. Unisamehe kama nimekukwaza pia Mkuu. Nimeishia hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni moto aisee ukiforce kufikria unaweza kujinyea

IMG_0754.jpg

[emoji1787][emoji854][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa Mimi niliyesoma economics nitasua vipi?
Walitaka lecturer au officer?

Kwani wangeshindwa kuuliza maswali ya general knowledge yasiyokuwa biased.

Sio wotee walisoma chuo cha kodi.

Mi binafsi nilitoka form 6 nikapata tempo la uhasibu..!!!

NILIFUNDISHWA nikawa natoa voucher safi kabisa.

Kwenye ile interview walitaka kujua kama najua kutumia computer na hesabu basi.

Debt na credit nilizijulia kazini na Kazi nilifanya vizuri tu.

Sema TRA kama lengo lao lilikuwa ni kuchukua wanafunzi wao WASINGEPOTEZEA WATU MUDA.

Mbona Kuna interview moja walipigisha watu na waliuliza maswali general na current news kama makinikia?

Makinikia hayakuhitaji Shule yalihitaji mtu wa kufatilia news.

Unataka mtu aliyemaliza chuo 2014 akumbuke ya kwenye daftari?

#YNWA

Kada uliyokuwa unataka kufanya kazi ni kada ya kodi sasa unataka upewe maswali gani mkuu? Ungelijua usingeliomba hiyo kazi
 
Hivi hii Pepa majibu yake lini
Vipi jamani, mambo yameendaje huko?

Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama amekwisharudi ila akaniambia yeye ni kama alienda kutalii tu huko Dodoma maana pepa haikumwendea poa kabisa, nikamuuliza nini kigeni walichokiuliza kwenye huo mtihani akaniambia acha tu kaka.

Jamani ebu mtupe mrejesho mtihani ulikuaje ili nasi tupate cha kujifunza hapa.
 
Hivi hii Pepa majibu yake lini
Kwani hawajatoa majibu bado? Si nilisikia Oral itafanyika tar 17 na 18? Sasa wale wanaoishi mbali Kigoma, Songea, Mtwara itakuwaje wakipita kwenye usaili huo? Mbona hao utumishi waswahili sana? Au watatoa nauli kwa hao watu??
 
Hii pepar ilikua ngumu sanaa watu hawana hata mzuka nayo .....
 
Kwani hawajatoa majibu bado? Si nilisikia Oral itafanyika tar 17 na 18? Sasa wale wanaoishi mbali Kigoma, Songea, Mtwara itakuwaje wakipita kwenye usaili huo? Mbona hao utumishi waswahili sana? Au watatoa nauli kwa hao watu??
Bado hawajatoa, huenda labla wakareschedule, siamini kama kwa ile nyomi ya watu wataweza kusahihisha ndani ya week moja tu na kutoa majibu.
 
Back
Top Bottom