Umechukua inch 24 je ina port ya HDMI au display portBinafsi nimenunua hio monitor, mpaka sasa sijakutana na changamoto yoyote.
Vitu vya pale asilimia kubwa ni used, na uhakika wa ubora ni kubahatisha, na hauzii shida.
Ila uzuri unajaribiwa kitu unacho nunua kikiwaka ni chako, matokeo huko nyumbani ni juu yako.
Yote ya yote jamaa kawekeza mno pale, na ukweli kuna wingi mkubwa sana wa watu, kama ataendelea hivi panakuja kuwa maarufu kusiko elezeka.
Sio inchi 24 ila hdmi ipo ndugu yangu.Umechukua inch 24 je ina port ya HDMI au display port
Usichafue biashara za watu mkuu.Usithubutu kununua kitu kwa hao jamaa. Niliwahi kununua laptop wakasema mpya ipo kwenye karatasi, kilichokuja kutokea haikumaliza hata wiki ikafa! nikawa nimepoteza pesa yangu. Hivyo vitu vingi vimeungwa ungwa na kuegeshwa kijanja.
Biashara za watu kaka hawajaanza LeoUsithubutu kununua kitu kwa hao jamaa. Niliwahi kununua laptop wakasema mpya ipo kwenye karatasi, kilichokuja kutokea haikumaliza hata wiki ikafa! nikawa nimepoteza pesa yangu. Hivyo vitu vingi vimeungwa ungwa na kuegeshwa kijanja.
Mtoa MADA huo sio mnada wa kawaida hiyo ni yard ya Mr. Chris Lukosi mtafute Facebook.Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30 lakini hazija kaa kijanja nahisi zitakua za miaka ya 90
Mazuri nilioyashahudia pale mwamba anagawa baiskeli za walemavu bure kwa hilo kaupiga mwingi sana Mungu ambariki
Kilocho nifanya nitoke pale bila kunununua kitu ni unatoa pesa alafu unakabidhiwa tv yako hakuna kuchagugua sijui unataka frameless au yenye thin bezel hapana pale unapewa tv bora iwake kama haiwaki unabadilishiwa palepale ukitoka nje ya geti warranty imeisha
Shida ni moja unaweza ukapewa tv nzima inawaka tatizo ni ya kizamani yenye mafremu mapana lakini vitu vizuri vipo mpaka magari RANGE ROVER kwa 33milioni video iko chini
View attachment 3378123
View attachment 3378140
yupo humu mkuu,ila kitambo hatii nenoHivi Chriss Lukosi polisi mstaafu sio member humu?
Shida yake ni Moja hizo zimetoka second hand zinakwenda third hand lazima uzimodfyMnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30 lakini hazija kaa kijanja nahisi zitakua za miaka ya 90
Mazuri nilioyashahudia pale mwamba anagawa baiskeli za walemavu bure kwa hilo kaupiga mwingi sana Mungu ambariki
Kilocho nifanya nitoke pale bila kunununua kitu ni unatoa pesa alafu unakabidhiwa tv yako hakuna kuchagugua sijui unataka frameless au yenye thin bezel hapana pale unapewa tv bora iwake kama haiwaki unabadilishiwa palepale ukitoka nje ya geti warranty imeisha
Shida ni moja unaweza ukapewa tv nzima inawaka tatizo ni ya kizamani yenye mafremu mapana lakini vitu vizuri vipo mpaka magari RANGE ROVER kwa 33milioni video iko chini
View attachment 3378123
View attachment 3378140
Ni member mkuuHivi Chriss Lukosi polisi mstaafu sio member humu?
Anaingiaga sana Na ID zake nyingine. 2014 na 2015 alikuwaga anatutkana Sana Bavicha Kwa kutuita kenge Kwa ID zake za Chris lukos na ex cop. Na Sisi tukaanza kumuumbua alivyokuwa anaishi sebuleni Kwa shemeji Yake alipokuwa mgeni uingereza.yupo humu mkuu,ila kitambo hatii neno