GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Pua za Panya zipoje kwani nimetoka Kula Samaki na kwa Makusudi nimebakisha baadhi (tena Kufunga katika Mfuko usiopitisha Hewa) ili Kesho Asubuhi niwape Paka wanaojiandaa Kuniwangia na Kunilimisha Mzanaki Mimi Usiku huu nikilala ila nashangaa Panya wameshajua hadi nilipoficha na sasa wananilia timing tu Nilale waanze Kujichana / Kula. Je, kuna Sayansi gani kwa Panya?
2. Nina Kajitabia nimekaanzisha Siku hizi kila Saa 1 Kamili Asubuhi nafanya fanya Usafi Mazingira ya niishipo na kila Kukiwa na Mabaki ya Chakula (hasa Samaki au Nyama Siku zikinitembelea) huwapa Paka ambao huwa Nawapenda hata kama Sifugi / Siwafugi.
Kinachonishangaza sasa ni kwamba kila ifikapo hiyo Saa 1 Kamili za Asubuhi utawakuta tayari Mlangoni wakinisubiri na huwa hawachelewi hata dakika Moja.
Je, hapa pia huwa kuna Sayansi gani kwa Paka dhidi ya Hisia na Ratiba zangu GENTAMYCINE?
Je, nami sasa nianze Kuwaamini baadhi ya Wanasayansi na Wanasaikolojia wa Wanyama kuwa japo Sisi Wanadamu tunawadharau hawa Wanyama na Wadudu ila wengi Wao wana IQ Kubwa ambazo kama Wanadamu tungekuwa nazo basi tungepata Majibu ya Kutomlundikia Mtanzania na Matozo mengi / lukuki na badala yake tungeweza Kufikiri zaidi ili kuja na Mpango mwingine usio Kero kwa Mwananchi.
Karibuni mno Wabobezi mnielimishe.